PRESIDENT CHAVALA(THE KING OF STAND UP COMEDY) KUANDELEZA MFULULIZO WA MATAMASHA YA KUCHEKA TENA MIKOANI.
PASAKA NI ARUSHA NA APRIL 29 NDANI YA MWANZA!!!
PASAKA NI ARUSHA NA APRIL 29 NDANI YA MWANZA!!!
Baada ya mafanikio makubwa ya uzinduzi wa matamasha hayo
mwishoni mwa mwaka jana, Nov 20 2011 pale Crystall hall ya Blue pearl hotel, na uzinduzi wa season ya kwanza pale landmark mapema mwaka huu.
. Sasa mbeba IDEA huyo ameamua kuanza rasmi MSIMU WA KWANZA(SEASON ONE) wa matamasha hayo ya stand up comedy mikoani kote Tanzania, na Tamasha la kwanza ndio hili LAUGH AGAIN CONCERT One One ambalo lilifanyika pale Ibungira hall ya LANDMARK HOTEL,Ubungo,river side, jumapili ya kwanza ya march(4th March 2012), kuanzia saa nane na nusu mpaka mbili usiku(2:30pm-8pm).
. Sasa mbeba IDEA huyo ameamua kuanza rasmi MSIMU WA KWANZA(SEASON ONE) wa matamasha hayo ya stand up comedy mikoani kote Tanzania, na Tamasha la kwanza ndio hili LAUGH AGAIN CONCERT One One ambalo lilifanyika pale Ibungira hall ya LANDMARK HOTEL,Ubungo,river side, jumapili ya kwanza ya march(4th March 2012), kuanzia saa nane na nusu mpaka mbili usiku(2:30pm-8pm).
…….LAUGH AGAIN CONCERT ONE ONE, 4th March
2012 ,LANDMARK HOTEL,UBUNGO <<Quality-Love for Quality people>>
Mbali na CLOWN CHAVALA,Tamasha hili la Ubungo liliwapandishaha
comedians chipkizi ambao walikuwa Gerald Mrema, Richard Chidundo,
na MC MANU a.k.a Pilipili ya Sherehe toka Dodoma,
Makundi mengine yaliyokuwapo tamashani ni pamoja na kundi maarufu la vijana waimbaji waitwao GLORIOUS CELEBRATION BAND, pia DAR ES SALAAM GOSPEL BAND, VICTOR ARON,MADAM RUTH &CHRISS.
Bila kuwasahau GOLDEN EAGLE DANCERS
........LAUGH AGAIN CONCERT, ON 8th APRIL 2012, ARUSHA
<<CHEKA KI-ARUSHA>>
you will soon be updated
......LAUGH AGAIN CONCERT Rockly ON 29th APRIL, GOLD CREST HOTEL,MWANZA
<<Yaacheni MAWE yaitwe MAWE>>
maandalizi yanaendelea vema!
Makundi mengine yaliyokuwapo tamashani ni pamoja na kundi maarufu la vijana waimbaji waitwao GLORIOUS CELEBRATION BAND, pia DAR ES SALAAM GOSPEL BAND, VICTOR ARON,MADAM RUTH &CHRISS.
Bila kuwasahau GOLDEN EAGLE DANCERS
........LAUGH AGAIN CONCERT, ON 8th APRIL 2012, ARUSHA
<<CHEKA KI-ARUSHA>>
you will soon be updated
......LAUGH AGAIN CONCERT Rockly ON 29th APRIL, GOLD CREST HOTEL,MWANZA
<<Yaacheni MAWE yaitwe MAWE>>
maandalizi yanaendelea vema!
LAUGH AGAIN
CONCERT SERIES Season One…
LAUGH AGAIN CONCERT Season One itakuwa na matamasha nane
katika mikoa mitano ya hapa nchini kwa kuanzia, Matamasha haya yatafanyika
kuanzia March-August/September 2012 katika mikoa ya Dar es
salaam(3),Arusha(1),Mwanza(1),Dodoma(2) na Mbeya(1).
Tar 1st April ni ARUSHA na 29th April
ni ndani ya COLD CREST HOTEL,Mwanza then DSM tena !
Clown Chavala,The King of Stand up Comedy! Alimaarufu kama
President Chavala!
Ambaye ni MC Maarufu ,Mchekeshaji(stand up comedian) na Muasisi
wa christian stand up comedy Tanzania, ambaye ndiye Mchekeshaji mkuu na Project
manager wa hii project,amesema matamasha haya yatakuwa endelevu na yatafika
katika kila mkoa wa Tanzania na baadae mwaka huu tunategemea kuanzisha vipindi
maalum katika televisheni kadhaa nchini
na mbeleni zaidi kutunza matamasha hayo katika DVDs. Zaidi mwaka huu tutakuwa
na Movie project ambazo zitawahusisha vipaji vipya kabisa sana sana katika
tasnia ya Stand Up ComeDY
Akielezea malengo ya
series hii kwa undani katika mchanganuo wa wazo hili au idea hii, Chavala
ameandika haya….(tumenukuu)
I.
“…….PROGRAM
OBJECTIVES:
The project has come about with the following objectives;
i.
Building another platform of uncommon flavored
pleasures/outing through which people will be enjoying and get healed of their
stresses through natural LAUGHING therapy. In short creating another room of
relaxation and enjoyment.
ii.
Bring up abandoned/frozen and or forgotten
talents on top layer in a modern presentation, along with nurturing and
promoting new up-comings potentials, such as STAND UP COMEDIES that is not
common in Tanzania.
iii.
Portraying our natural belongings, culture,
creativity and heritage to the world through ARTS via another media, for this
concert will be recorded to be viewed throughout the world.
iv.
Building another platform of NETWORKING, where
by different people with different potentials, professionals, carriers and
other stake holders will interchange and link different information that might
be advantageous mutually.
v.
Along
with all these objectives, also the concert will be dedicative to diffent
celebration or ceremonies that will collide with our plans and thus to give
people opportunities to enjoy their moments extraly.
CHAVALA
KATIKA HARAKATI….
Si watu wote wanaweza kung’ang’ania idea ambazo ni mpya na
zinaonekana kuwa na upinzani wa watu wengi, kimsingi watu wengi huwa hawapendi
kutangulia mbele kama wachache wetu wanavyofanya, Chavala ni moja ya
wanaharakati vijana nchini ambao wana mawazo makubwa, ingawa utaratibu wa
nchi yetu ndio unafanya watu kama hawa
wasitambulike haraka hapa nchini!
Mchekeshaji huyu ambaye ana vipaji lukuki, ana sifa fulani
za pekee na moja wapo ni kuwa wa pekee katika matukio mbalimbali, kwanza
anapenda sana kuvaa kiasili,kuvaa kofia na zaidi ni mvaaji mzuri sana wa suti,
kimsingi ni mtu smart!
Katika mchanguo wa SERIES ya matamasha ya KUCHEKA TENA
(LAUGH AGAIN CONCERT SERIES PROJECT PROPOSAL)…..Chavala ameelezewa kama
hivi(tunanukuu)
I.
“…..ABOUT
CLOWN CHAVALA (EXPERIENCE)
Clown Chavala is the Visionary and sole owner of this Idea
and star performer of this concert series, this man has very great passion to
see everybody lives by his/her own potential, this guy’s popularity is
increasing very strategically and his influence is rising daily for he lives
for mankind.
His uniqueness
potential has become the commodity and adventerous experience among different
groups of people in Tanzania and since the moment he decided to invest his
tireless effort on it, we can see the achievements, especially from the
previous concert.
He is the University graduate in area of Business
Administration and Management working with his own company called GREAT
POTENTIALS LIMITED as CEO/Managing Director, cocomitantly he works with HEROES
MOVEMENT TANZANIA(NGO) as Pionering Director of Investiment and
Entrepreneurship from 2009 up to now.
Moreover is the
Tanzanian patriot, Youth Development Activist, Thinker and Ideas Developer,
Professional Events organizer and manager, Master of Ceremonies, Author,
Natural Leader, Motivational speaker and Counselor, Practicing Entrepreneur,
Business and Management consultant by professional and moreover he is the long
experienced Dramatist and Artist(for about 10years), being doing song writing
and singing; poems/stories/plays and film compositions; movie casting; wear and
graphics designing, storytelling, dancing and Stand up comedies in different
occasions, events and concerts
He has attended different national and international youth
and professional events and conferences, also participated in preparations of
different mega events in Tanzania such as FROM ZERO TO HERO CONCERTS by Heroes
Movement Tanzania, CHANGE YOUR DESTINY CONFERENCE by Life Ministry Tanzania,
and ENTREPRENEURSHIP DAY by East Africa Speakers bureau and to mention a few.
He has planned and moderated several different kinds of
ceremonies such as wedding, camps, conferences, parties, outings and many more
for instance Street university Events and Concerts by Eric Shigongo and James
Mwang’amba.
He real loves arts and and always he does perform his arts
with great love and passion.
Moreover he always does the so called “EDU-ENTERTAINMENT” It
might be very funny thing/presentation but very inspiring.
He always says
“INSPIRE BEFORE YOU EXPIRE”……….Mwisho wa kunukuu!
MAFANIKIO
MPAKA SASA…..
Akielezea mafanikio ya kampeni hii ya kutambulisha Stand Up
Comedy katika Ulimwengu wa Kikristo, Chavala amesema….mafanikio ni mazuri na
wengi wameanza kuelewa kuwa ni jambo jema ambalo litasaidia vipaji vingi
vilelewe katika maadili ya kumtukuza Mungu badala ya watu wote kukimbilia
duniani.pili vijana wengi wenye vipaji wameipokea kwa mikono miwili na
wanaifurahia.
Na kwa kuwa wakristo
hawana burudani zaidi ya kwenda ibadani,mikutanoni,na kwenye matamasha ya
uzinduzi au uchangishaji mbalimbali…sasa hii ni aina nyingine ya burudani
ambayo itawafaa watu wote wakiwemo watoto,maana hakuna mambo mabaya ambayo
yanaongelewa huko.
CHANGAMOTO
Kuna changamoto kadhaa ambazo zinajitokeza katika uasisi huu na chache kati ya hizo ni kama vile
Kuna changamoto kadhaa ambazo zinajitokeza katika uasisi huu na chache kati ya hizo ni kama vile
v
Bado kasi ya watu kuelewa umuhimu wake kwa jamii
ni ndogo sana,hivyo inahitajika juhudi ya ziada kuutambulisha ulimwengu wetu
kuwa hili ni jambo ni hatua ya muhimu sana katika Tanzania
v
Makampuni mengi hupoteza nafasi za muhimu za
kibiashara,na hutambua umuhimu wake baada ya matamasha kupita.
v
Mfumo wa habari na uandaaji wa matukio Tanzania
bado wa kiupaumbele kwa watu wachache ambao wanaonekana wao kuwa ndio wenye
media power
v
Binafsi inanitatiza kwasababu kila jambo
ninalofanya inaonekana kama ni comedy kwa wale wanaonifahamu,hata kama saa hiyo
niko serious.
WASHIKA DAU/WADHAMINI NA MARAFIKI WA IDEA HII…
Mpaka sasa washika dau mbalimbali wamejitokeza kuunga mkono
kwa kuchangia,kudhamini au kuonyesha nia ya kuchangia/kudhamini hapo mbeleni.
Watu kama REV.DK HURUMA NKONE,DK CHARLES SOKILE, Pastor
YARED DONDOO,ERICK SHIGONGO,GODBLESS LEMA(Mb),Noell Tenga,Deo,HARRIS
KAPIGA,PROSPER MWAKITALIMA na wengine wengi (Watu binafsi), Global Publisher,
Wapo Radio na Msema kweli,Praise Power Radio,Friends on Friday,Photopoint,The
Whispers Band,VCC ,City Harvest Church na mengine mengi, Pia AG Press, EATV,Channel
ten,KNOWLEDGE INITIATIVE,ALIVE FM(Mwanza), USHINDI FM(Mbeya) pamoja blogs
mbalimbali kama vile samsasali.blogspot.com;michuzi blog,rumaafrica.blogspot na
nyingine nyingi!
Zaidi hii ya Dar es salaam ya sasa imedhaminiwa na GREAT
POTENTIALS LTD,DECENT ENTERTAINMENT,WAVE MEDIA PRODUCTION,PPR,WAPO,GLOBAL
PUBLISHER NA BLOGS ZOTE NILIZOTAJA.
Watu walionyesha nia,ambao bado tunasubiria majibu yao ni
pamoja na VODACOM,AIRTEL,ZANTEL,CRDB na MEDIA HOUSES.
Milango iko wazi kwa yeyote ambaye angetamani kuwa sehemu ya
mafanikio ya SERIES hii,aitha kwa kuchangia au kudhamini! Unaweza kuchangia kwa
M-Pesa au Tigo Pesa toka pande yeyote ya Tanzania Inaweza kuwa unachangia au
kudhamini SERIES nzima au tamasha mojawapo la mahali utakapochagua.
Kwa maelezo zaidi/ushauri/maoni/kazi na mawasiliano
tafadhali tumia anuani ifuatayo;
“LAUGH AGAIN
CONCERT SERIES PROJECT”
GREAT
POTENTIALS LIMITED,
C/o BOX
34048,
DAR ES
SALAAM.
+255
713/753-883 797
e-mail; lacs.project@gmail.com
Unaweza pia
kutupata kwa facebook group; “LAUGH
AGAIN CONCERT SERIES”
No comments:
Post a Comment