Wednesday, March 6, 2013

GOSPEL SINGERS' BREAKFAST KUZINDULIWA TAR 06/04/2013

Hii ni fursa ya kipekee ambayo itawakutanisha waimbaji wote wa nyimbo za injili walio Dar au watakaobahatika kuwa Dar kwa kuanzia kwa ajili ya ushirika wa Neno,ushauri,kutiana moyo,kufahamiana,maombi na chai nzito ya pamoja!!

Je ungependa kuimba kwa kushirikiana na wenzako?ama ungependa kumiliki Blog au tovuti?,je ungependa kujitangaza kwa mitandao? Je ungependa kuwa wa kimataifa?.....basi hii ni nafasi ya kipekee sana!!

KUNA MAMBO MENGI SANA YA KUJIFUNZA KATIKA DHIFA HII,HIVYO WEWE UKIWA KAMA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AITHA BINAFSI,KUNDI AU KWAYA,UNAYECHIPUKIA AU UNAYETAMANI KUANZA PAMOJA NA WEWE UNAYEFAHAMIKA SANA!!
Wazo hili limetoka "Chavala Ideas Platform"
na linasimamiwa na kudhaminiwa na
Blog ya kikristo: Gospel Standard Base (GoStaBa Blog)

Dhifa hii itafanikiwa sana kama kila mshiriki akiwa na mchango wa Angalau 5000/=(hiho kiwango sio kiingilio,hivyo unaweza kutoa zaidi kama unawiwa,karibu sana)

Tafadhali ukipata ujumbe huu mwalike na mwenzako


+255-(713/753)-883797


City Harvest Church Auditorium at Victoria petrol station,Gereji,Mandela road,Dar es salaam


GOSPEL SINGERS’ BREAKFAST in SUMMARY
“A special divine social, spiritual and intellectual based morning feast through which all ready and willing Tanzania gospel singers (ready on board and those who are in-process of coming) and all other stakeholders from all strata and diversities will mingle together for soul, mind and body foods, in order to be STRONG in all spheres of life, for the sake of improving our servant hood, our focus and efficiency in serving and manifesting the Kingdom of God in Tanzania and in the Universe. Hopefully this event will serve singers to be impacted, motivated, inspired and challenged to think bigger. Moreover it will help them to familiarize, socialize, and strategize more on how to build a better united, focused future oriented powerful Gospel family in Tanzania, East Africa and Africa which dwell in Gospel Standards!”

No comments:

Post a Comment