Tuesday, September 25, 2012

MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE ANAENDELEA NA SEMINA YA NENO LA MUNGU KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI,DAR ES SALAAM....KARIBUNI SANA!!!

Mwalimu Christopher Mwakasege

Bwana Yesu Asifiwe!!
Karibu ujiunge nasi kusikiliza neno la Mungu inayoendelea hapa jijini Dar es salaam 
kupitia Wapo Redio(98.0FM) ,Redio Sauti ya Injili,Redio Upendo,www.sautiyainjili.org 

Semina itarushwa live kwanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili jioni,
kuanzia tarehe 23 September 2012 hadi jumapili tarehe 30 september 2012.

Mwambie na mwenzako!Mungu awabariki!!

2 comments:

 1. Bwana Yesu asifiwe,
  Naitwa Emmanuel naomba kujua kuna aina ngapi za maagano?
  Na Je msalaba maana yake ni nini?

  Ntashukuru kwa majibu. Anwani yangu ni princembk@ymail.com

  ReplyDelete
 2. Amen Emmanuel!
  Ahsante kwa maswali yako,na utajibiwa kwa ufasaha muda si mrefu! hapahapa!

  ReplyDelete