Monday, April 23, 2012

......Mch GWAJIMA IN LONDON!!!!

Shalom!!
Mchungaji Josephat Gwajima anatarajia kuwepo jijini london kuanzia jumapili hii ya tarehe 29 hadi tarehe 6 ya mwezi wa tano,
kwa yeyote ambaye angependa kukutana na mchungaji kwa ajili ya maombi na ushauri basi anatakiwa kupiga simu namba 0742 7532044 au
07429667095
ili kupanga siku na muda ambao angekutana na mchungaji
aidha mchungaji atakuwa kwenye tawi la kanisa lake jumapili zote mbili kwa yeyote ambaye angependa kufika afuate anuani hii

Glory of christ ministries international,
langham road,Tottenham,London,
N15 3RB.

au apige simu nilizoandika awali 

No comments:

Post a Comment