Monday, April 30, 2012

.........KARIBUNI KWA MAONI!!!

Shalom!

Natumai kila mtu ni mzima tena mzima sana!
ikiwa ni mwanzo wa wiki nzuri hii!
Samahani kwa kuwa kimya kwa wiki nzima,ofisi ilikuwa ina mambo mengi kiasi cha kushindwa kuleta yale yaliyopaswa kuja hapa!
But soon mambo yote yatakuwa mazuri!!
JE KUNA JAMBO AMBALO LINAKUTATIZA?
JE KUNA MTUMISHI AMBAYE UNGEPENDA KUSIKIA KUTOKA KWAKE?
JE KUNA USHUHUDA AMBAO UNGEPENDA KUWASHIRIKISHA WENGINE?
Basi huu ni uwanja wako,usisite kuwasiliana nasi kupitia anuani chini kabisa ya ukurasa huu!!

No comments:

Post a Comment