Thursday, April 19, 2012

........CONTRAVERSIAL ISSUES!!!!!!!!!!!!!!!

Coming soooooooon!!!
 Najua bado una maswali mengi lakini utajibiwa tu!
Pamoja na kwamba umeokoka bado uko duniani,kwahiyo usijaribu kujitaabisha kibinadamu,maana peke yako hutaweza!
Kila jambo lina PANDE TATU!
1.Upande WANGU
2.Upande WAKO
3.Upende SAHIHI!!
( Na Mwl Chavala)

Sasa ni jambo lipi likutaabishalo?
Ni jambo lipi hulielewi?
Je mkiristo kunywa MALTA AU BIDHAA yeyote inayozalishwa na Kiwanda cha BIA ni makosa?
Je TBL kuchangia ujenzi wa KANISA ni vibaya?
Je ni sawa kutumia wine?
Yapi mavazi sahihi?
Siasa na sisi tunahusika au ni kwa walimwengu?
HAYA NA MENGINE MENGI.......UTAJIFUNZA HAPA KATIKA MFULULIZO MPYA!!!!!!

STAY TUNED!!!!

No comments:

Post a Comment