Thursday, March 1, 2012


PRESIDENT CHAVALA(THE KING OF STAND UP COMEDY) KUANDELEZA MFULULIZO WA MATAMASHA YA KUCHEKA TENA MIKOANI.
PASAKA NI ARUSHA NA APRIL 29 NDANI YA MWANZA!!!

Baada ya mafanikio makubwa ya uzinduzi wa matamasha hayo mwishoni mwa mwaka jana, Nov 20 2011 pale Crystall hall ya Blue pearl hotel, na uzinduzi wa season ya kwanza pale landmark mapema mwaka huu.

. Sasa mbeba IDEA huyo ameamua kuanza rasmi MSIMU WA KWANZA(SEASON ONE) wa matamasha hayo ya stand up comedy mikoani kote Tanzania, na Tamasha la kwanza ndio hili LAUGH AGAIN CONCERT One One ambalo lilifanyika pale Ibungira hall ya LANDMARK HOTEL,Ubungo,river side, jumapili ya kwanza ya march(4th March 2012), kuanzia saa nane na nusu mpaka mbili usiku(2:30pm-8pm).
…….LAUGH AGAIN CONCERT ONE ONE, 4th March 2012 ,LANDMARK HOTEL,UBUNGO <<Quality-Love for Quality people>>

Mbali na CLOWN CHAVALA,Tamasha hili la Ubungo liliwapandishaha comedians chipkizi  ambao  walikuwa Gerald Mrema, Richard Chidundo,  na MC MANU a.k.a Pilipili ya Sherehe toka Dodoma,
Makundi mengine yaliyokuwapo tamashani ni pamoja na kundi maarufu la vijana waimbaji waitwao GLORIOUS CELEBRATION BAND, pia DAR ES SALAAM GOSPEL BAND, VICTOR ARON,MADAM RUTH &CHRISS.
Bila kuwasahau GOLDEN EAGLE DANCERS

........LAUGH AGAIN CONCERT, ON 8th APRIL 2012, ARUSHA
<<CHEKA KI-ARUSHA>>
you will soon be updated

......LAUGH AGAIN CONCERT Rockly ON 29th APRIL, GOLD CREST HOTEL,MWANZA
<<Yaacheni MAWE yaitwe MAWE>>
maandalizi yanaendelea vema!

LAUGH AGAIN CONCERT SERIES Season One…

LAUGH AGAIN CONCERT Season One itakuwa na matamasha nane katika mikoa mitano ya hapa nchini kwa kuanzia, Matamasha haya yatafanyika kuanzia March-August/September 2012 katika mikoa ya Dar es salaam(3),Arusha(1),Mwanza(1),Dodoma(2) na Mbeya(1).
Tar 1st April ni ARUSHA na 29th April ni ndani ya COLD CREST HOTEL,Mwanza then DSM tena !
Clown Chavala,The King of Stand up Comedy! Alimaarufu kama President Chavala!
Ambaye ni MC Maarufu ,Mchekeshaji(stand up comedian) na Muasisi wa christian stand up comedy Tanzania, ambaye ndiye Mchekeshaji mkuu na Project manager wa hii project,amesema matamasha haya yatakuwa endelevu na yatafika katika kila mkoa wa Tanzania na baadae mwaka huu tunategemea kuanzisha vipindi maalum katika televisheni  kadhaa nchini na mbeleni zaidi kutunza matamasha hayo katika DVDs. Zaidi mwaka huu tutakuwa na Movie project ambazo zitawahusisha vipaji vipya kabisa sana sana katika tasnia ya Stand Up ComeDY
Akielezea  malengo ya series hii kwa undani katika mchanganuo wa wazo hili au idea hii, Chavala ameandika haya….(tumenukuu)

I.                    “…….PROGRAM OBJECTIVES:
The project has come about with the following objectives;
i.                     Building another platform of uncommon flavored pleasures/outing through which people will be enjoying and get healed of their stresses through natural LAUGHING therapy. In short creating another room of relaxation and enjoyment.
ii.                   Bring up abandoned/frozen and or forgotten talents on top layer in a modern presentation, along with nurturing and promoting new up-comings potentials, such as STAND UP COMEDIES that is not common in Tanzania.
iii.                   Portraying our natural belongings, culture, creativity and heritage to the world through ARTS via another media, for this concert will be recorded to be viewed throughout the world.
iv.                 Building another platform of NETWORKING, where by different people with different potentials, professionals, carriers and other stake holders will interchange and link different information that might be advantageous mutually. 
v.                    Along with all these objectives, also the concert will be dedicative to diffent celebration or ceremonies that will collide with our plans and thus to give people opportunities to enjoy their moments extraly.

CHAVALA KATIKA HARAKATI….
Si watu wote wanaweza kung’ang’ania idea ambazo ni mpya na zinaonekana kuwa na upinzani wa watu wengi, kimsingi watu wengi huwa hawapendi kutangulia mbele kama wachache wetu wanavyofanya, Chavala ni moja ya wanaharakati vijana nchini ambao wana mawazo makubwa, ingawa utaratibu wa nchi  yetu ndio unafanya watu kama hawa wasitambulike haraka hapa nchini!
Mchekeshaji huyu ambaye ana vipaji lukuki, ana sifa fulani za pekee na moja wapo ni kuwa wa pekee katika matukio mbalimbali, kwanza anapenda sana kuvaa kiasili,kuvaa kofia na zaidi ni mvaaji mzuri sana wa suti, kimsingi ni mtu smart!
Katika mchanguo wa SERIES ya matamasha ya KUCHEKA TENA (LAUGH AGAIN CONCERT SERIES PROJECT PROPOSAL)…..Chavala ameelezewa kama hivi(tunanukuu)

I.                    “…..ABOUT CLOWN CHAVALA (EXPERIENCE)
Clown Chavala is the Visionary and sole owner of this Idea and star performer of this concert series, this man has very great passion to see everybody lives by his/her own potential, this guy’s popularity is increasing very strategically and his influence is rising daily for he lives for mankind.
 His uniqueness potential has become the commodity and adventerous experience among different groups of people in Tanzania and since the moment he decided to invest his tireless effort on it, we can see the achievements, especially from the previous concert.

Clown Chavala whose real name is FREDY ERASTO CHAVALA
He is the University graduate in area of Business Administration and Management working with his own company called GREAT POTENTIALS LIMITED as CEO/Managing Director, cocomitantly he works with HEROES MOVEMENT TANZANIA(NGO) as Pionering Director of Investiment and Entrepreneurship from 2009 up to now.
Moreover  is the Tanzanian patriot, Youth Development Activist, Thinker and Ideas Developer, Professional Events organizer and manager, Master of Ceremonies, Author, Natural Leader, Motivational speaker and Counselor, Practicing Entrepreneur, Business and Management consultant by professional and moreover he is the long experienced Dramatist and Artist(for about 10years), being doing song writing and singing; poems/stories/plays and film compositions; movie casting; wear and graphics designing, storytelling, dancing and Stand up comedies in different occasions, events and concerts
He has attended different national and international youth and professional events and conferences, also participated in preparations of different mega events in Tanzania such as FROM ZERO TO HERO CONCERTS by Heroes Movement Tanzania, CHANGE YOUR DESTINY CONFERENCE by Life Ministry Tanzania, and ENTREPRENEURSHIP DAY by East Africa Speakers bureau and to mention a few.
He has planned and moderated several different kinds of ceremonies such as wedding, camps, conferences, parties, outings and many more for instance Street university Events and Concerts by Eric Shigongo and James Mwang’amba.
He real loves arts and and always he does perform his arts with great love and passion.
Moreover he always does the so called “EDU-ENTERTAINMENT” It might be very funny thing/presentation but very inspiring.
 He always says “INSPIRE BEFORE YOU EXPIRE”……….Mwisho wa kunukuu!

MAFANIKIO MPAKA SASA…..
Akielezea mafanikio ya kampeni hii ya kutambulisha Stand Up Comedy katika Ulimwengu wa Kikristo, Chavala amesema….mafanikio ni mazuri na wengi wameanza kuelewa kuwa ni jambo jema ambalo litasaidia vipaji vingi vilelewe katika maadili ya kumtukuza Mungu badala ya watu wote kukimbilia duniani.pili vijana wengi wenye vipaji wameipokea kwa mikono miwili na wanaifurahia.
 Na kwa kuwa wakristo hawana burudani zaidi ya kwenda ibadani,mikutanoni,na kwenye matamasha ya uzinduzi au uchangishaji mbalimbali…sasa hii ni aina nyingine ya burudani ambayo itawafaa watu wote wakiwemo watoto,maana hakuna mambo mabaya ambayo yanaongelewa huko.

CHANGAMOTO
Kuna changamoto kadhaa ambazo zinajitokeza katika uasisi huu na chache kati ya hizo ni kama vile
v  Bado kasi ya watu kuelewa umuhimu wake kwa jamii ni ndogo sana,hivyo inahitajika juhudi ya ziada kuutambulisha ulimwengu wetu kuwa hili ni jambo ni hatua ya muhimu sana katika Tanzania
v  Makampuni mengi hupoteza nafasi za muhimu za kibiashara,na hutambua umuhimu wake baada ya matamasha kupita.
v  Mfumo wa habari na uandaaji wa matukio Tanzania bado wa kiupaumbele kwa watu wachache ambao wanaonekana wao kuwa ndio wenye media power
v  Binafsi inanitatiza kwasababu kila jambo ninalofanya inaonekana kama ni comedy kwa wale wanaonifahamu,hata kama saa hiyo niko serious.

WASHIKA DAU/WADHAMINI NA MARAFIKI WA IDEA HII…

Mpaka sasa washika dau mbalimbali wamejitokeza kuunga mkono kwa kuchangia,kudhamini au kuonyesha nia ya kuchangia/kudhamini hapo mbeleni.
Watu kama REV.DK HURUMA NKONE,DK CHARLES SOKILE, Pastor YARED DONDOO,ERICK SHIGONGO,GODBLESS LEMA(Mb),Noell Tenga,Deo,HARRIS KAPIGA,PROSPER MWAKITALIMA na wengine wengi (Watu binafsi), Global Publisher, Wapo Radio na Msema kweli,Praise Power Radio,Friends on Friday,Photopoint,The Whispers Band,VCC ,City Harvest Church na mengine mengi, Pia AG Press, EATV,Channel ten,KNOWLEDGE INITIATIVE,ALIVE FM(Mwanza), USHINDI FM(Mbeya) pamoja blogs mbalimbali kama vile samsasali.blogspot.com;michuzi blog,rumaafrica.blogspot na nyingine nyingi!
Zaidi hii ya Dar es salaam ya sasa imedhaminiwa na GREAT POTENTIALS LTD,DECENT ENTERTAINMENT,WAVE MEDIA PRODUCTION,PPR,WAPO,GLOBAL PUBLISHER NA BLOGS ZOTE NILIZOTAJA.
Watu walionyesha nia,ambao bado tunasubiria majibu yao ni pamoja na VODACOM,AIRTEL,ZANTEL,CRDB na MEDIA HOUSES.
Milango iko wazi kwa yeyote ambaye angetamani kuwa sehemu ya mafanikio ya SERIES hii,aitha kwa kuchangia au kudhamini! Unaweza kuchangia kwa M-Pesa au Tigo Pesa toka pande yeyote ya Tanzania Inaweza kuwa unachangia au kudhamini SERIES nzima au tamasha mojawapo la mahali utakapochagua.


Kwa maelezo zaidi/ushauri/maoni/kazi na mawasiliano tafadhali tumia anuani ifuatayo;

“LAUGH AGAIN CONCERT SERIES PROJECT”
GREAT POTENTIALS LIMITED,
C/o BOX 34048,
DAR ES SALAAM.
+255 713/753-883 797
Unaweza pia kutupata kwa facebook group; “LAUGH AGAIN CONCERT SERIES”


No comments:

Post a Comment