Wednesday, December 5, 2012

ARUSHA TENA....PRAISE AND WORHIP LIVE CONCERT NDANI YA METRO POLE!!!

KIJANA MACHACHARI ASIYE NA MAKUU ANAYEKUJA JUU TARATIBU HATIMAYE AKISHIRIKIANA NA MASS CHOIR YA WAIMBAJI MBALIMBALI TOKA MAKANISA MBALIMBALI YA ARUSHA ANATARAJIA KUFANYA RECORDING NA TAMASHA NDANI YA METRO POLE ARUSHA JPILI YA TAR 16TH DECEMBER!!
KWA WAKAZI WOTE WA ARUSHA HII SIO NAFASI YA KUKOSA NA HATA MIMI KING CHAVALA NITAKUWEPO SAMBAMBA NAO KATIKA TAMASHA HILO!!
KILA LAKHERI WANDUGU!!

No comments:

Post a Comment