Wednesday, November 28, 2012

MKESHA MKUBWA WA KUSIFU NA KUABUDU NCHINI TANZANIA!!

HILI NI TAMASHA LA MWISHO WA MWAKA NA KAZI MOJA TU YA KUMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU, ZAIDI NI KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA TANZANIA NA KUOMBEA AMANI ZAIDI KWA AJILI YA FUTURE!!!
TAMASHA HILI NI BURE KABISA NA KILA MTU ANAKARIBISHWA KUMWALIKA NA MWENZAKE!!!

USIPANGE KUKOSA WAKATI HUO WA KIPEKEE NAMNA HIYO!!!

No comments:

Post a Comment