Wednesday, October 10, 2012

ITAKIENI AMANI ISRAEL!!!!

SHALOM!!
KIPEKEE NINAYO FURAHA KUBWA SANA KUWAKUMBUSHA JAMBO LA MUHIMU SANA NA HILI SI LINGINE BALI NI MUHIMU SANA...HILI NI JAMBO LA KUIOMBEA AMANI ISRAEL, TAIFA TEULE LA MUNGU BABA MWENYE ENZI YOTE!!!

KILA AIOMBEAYE AMANI NA BARAKA NCHI HII NAE PIA ATAKUWA NA AMANI NA ATABARIKWA PIA NA ATAKAYEILAANI NAE ATALAANIWA NA KILA ADUI WA NCHI NI ADUI WA MUNGU MWENYEWE!!!

GOSPEL STANDARD BASE BLOG INAITAKIA AMANI NCHI HII TEULE...
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA NA MUNGU IBARIKI ISRAEL!!!

KWA MAONI YAKO TAFADHALI JIUNGE NA UWE MWANACHAMA, ONA KITUFE KULIA JUU NA UTAONA MAHALI PAMEANDIKWA ....Follower!!!

MUNGU AKUBARIKI SANA, KARIBU SANA!!!

No comments:

Post a Comment