Monday, November 19, 2012

"RAISE THE STANDARDS" ndio ulikuwa ujumbe wa MBEYA CITY CAMPUS NIGHT 2012!!!!

Katika Weekend hii Big Events za wanafunzi zenye jina La Campus Night zimechukua mkondo wake katika mikoa ya Dodoma na Mbeya.

Blogger akiripoti kutoka Mbeya ameeleza kuwa Campus Night ya Mbeya imevunja Records ya Makusanyiko ya vijana na wanafunzi katika jiji hilo, event hiyo iliyokusanya wanafunzi zaidi ya 7000 ilikuwa na theme ya Raising The Standards.
Mwimbaji wa Injili anayevuma na ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu mkoani humo Ambwene Mwansongwe ndiye aliyeteka ukumbi kila aliposimama.
Wachekeshaji wanaovuma katika tasnia ya Gospel, King Chavalla na Mc Pilipili walinogesha Campus night yaJiji la Mbeya.
 
Wanenaji Wakuu Katika Usiku huo Dr. Huruma Nkone, Dr. Kimambo, Ms Rose Mushi na Mr. Msigwa wali Raise Standards za Wanafunzi.

Dr. Huruma Nkone aliyekuwa akifundusha Spiritual Transformation usiku huo alilipuka kinjilisti na kuwaambia wanafunzi 'Usharubalo na Utoz Toz,hautainua kiwango chako cha Kiroho, isipikuwa kwa kumpokea Yesu' akinukuu andiko la kutoka kwenye kitabu cha Yohana ikisema 'Mimi ndimi njia kweli na uzima, mtu haendi kwa Baba Isipokuwa kwa njia ya Mimi"
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Dr. Kimambo alifundisha Academic and Career Challenges zinazowakabili wanafunzi.Dr. Kimambo ambaye ni Mwajiriwa wa Serikali yaUingereza nchini Tanzania alieleza 'changamoto za mfumo wa elimu na mahitaji ya soko la ajira ni tatizo linalo wakabili wanafunzi. Tatizo la Soft Skills mbali na ule ujuzi unaopatikana vyuoni ni changamoto pia.Mbali na changamoto hizo maendeleo na matumizi ya technolojia katika mfumo globalization ni changamoto inayowakabili wahitimu wa Elimu Ya Juu.
Mwanadada aliyekuwa msemaji pekee katika Campus night na mdogo wa umri kuliko wasemaji wote Dada Rose Mushi alifundisha RaisingThe Standard Of Ladies In the Campus. Rose Mushi ambaye ni Mchumi kwa taaluma na mwajiriwa wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Aliamsha hamasa kubwa ya vijana alipoanza kufundisha kutoka kwenye Kitabu Cha Mwanzo kwenye story ya Yusufu na Mke wa Potifa. Akifundisha Usiku huo Rose Mushi alisema ili kuinua Viwango vya Kiroho Vya Akina dada katika Campus inapaswa kwanza Ujue thamani yako kama Mdada, pili inakupasa kuachana na mambo yote ambayo yanakusababishia kukushikilia kwa mwanaume kama mi kufaulu, kama ni ada, kama ni laptop kama ambavyo Yusufu alimwachia vazi Mke wa Potifa.
Somo la Mahusiano lilifundishwa na Mr. Msigwa Meneja wa tawi la CRDB katika wilaya ya Mbozi. Alieleza uhusiano wowote wa mwanaume na mwanamke hauwezi kuwa mzuri kama wahusika wana uhusiano mbaya na Mungu wao.
Praise and Worship Leaders. Mr and Mrs Matthew Sasali

Event hiyo ilisimamiwa na Dr. Nyanda pamoja na Ze Blogger. Praise Team ilisimamiwa na Pastor Matthew Sasali na Rebecca Sasali
Dr. Nyanda, Rose Mushi na Papaa Ze Blogger hapo ilikuwa saa 1 Asubuhi baada ya event.

Matukio Katika Picha.
 Sehemu Ya Umati Wa watu
 Mrs. Rebecca Sasali akiongoza Praise Team
 Wanafunzi Waliotoka Mbele Kumpa Yesu Maisha Yao Zaidi ya wanafuzi 90 walimpa Yesu Maisha yao.
 Ndani Ya Uwepo
 Watu Wakienda Sawa ndani ya Ukumbi
 Full Shangwe Wanafunzi Wa Mbeya
 Chezea Nyomi
 Respected Event Manager Papaa Ze Blogger ndani ya Ukumbi
 Ukumbi Mzima Kidole namba tatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 Watu Wakimpa Yesu Maisha Yao.
 Rose Moshi Kikazi zaidi
 Chezea Urefu
 Wakienda sawa
 Huu Mwili Khaaaa
 Pilipili Kikazi Zaidi ndani ya Mbeya
 Kikazi Zaidi hapa
 Safari Hii akaja na Style ya Sketi aiseeee ilikuwa nouma inaitwa "Usiombe Kusutwa'
 Dr. Maboko akizungumza kwenye Campus Night
 King Chavallaaaaaaaa akienda sawa ndani ya Campus Night
Jamaa kumbe akivua Kofia ni handsome sanaaaaaaaa

HABARI INAKUJIA KWA HISANI KUBWA YA PAPAA ZE BLOGGER!!!!

Friday, November 16, 2012

A DEEP SUMMARY ON... PRAISE AND WORSHIP...(6)


Today we are winding up the first major part of this lesson by looking at a few verses from the bible to help us move to the next level in praise!!!

First I want us to look at Psalms 22:3
" Yet you are holy,

enthroned on the praises of Israel."
This is a powerful verse that guarantees the presence of God! Imagine living a life of praise day and night 24/7. It is obvious that you become transformed from glory to glory. When you operate everything in God's presence, the best results that gives God glory are inevitable!!!

Next, let us take a look at Psalms 63:3-5

"3 Because your love is better than life,
my lips will glorify you. 
4 I will praise you as long as I live,
and in your name I will lift up my hands. 
5 My soul will be satisfied as with the richest of foods;
with singing lips my mouth will praise you." NIV

Let us glorify God with our lips, what comes out of our mouths, let it be something that glories God. Let us stop exalting our problems and give people the glory that should be given unto God. Let us speak the words of life!



As next week we are going to start a sermon on worship, i would love to bridge these sessions by saying that, praise generally talks about what God does, what He can do and worship is about who God is. It is my hope that you have been blessed with the sermons that we had in the past few weeks and I urge you not to miss the coming sessions in the next few weeks as we are going to get a little deeper in worship. 

Wednesday, November 7, 2012

VIGEZO VYA UBORA/HESHIMA VYA MTUMISHI WA MUNGU HUSUSANI MWANA-SANAA (01)



VIGEZO VYA UBORA/HESHIMA VYA MTUMISHI WA MUNGU HUSUSANI MWANA-SANAA (01)

(Qualities of honor of a Christian Servant especially Christian Artist (Celebrity))
*****************************************************************************************

Shalom!!
Ninayo heshima kubwa sana kwenu na kwa Mungu na moyo wangu umejaa shukrani mno, ahsante kwa kupata muda wa kujifunza na kuyatafakari yale yafaayo kutafakariwa!!

Nimekuwa na maswali mengi sana kichwani mwangu na mara kadhaa niwewahi kuwahoji watu mbalimbali, kuwa….HIVI KWA MFANO UKIANDAA TUKIO FULANI MAHUSUSI NA UKATAMANI MMOJA WA WASANII(WA SANAA YEYOTE ILE) AWE MGENI RASMI, UTAMCHUKUA NANI? KWA NINI? NA KAMA UKIMPATA HUYO, NI KWA NINI HUYO NA SIO MWINGINE?

Bila shaka umeshtuka na kichwani mwako bado una haha na yamkini hata nadharia zako huziamini amini vile, lakini yote haya ni kwasababu gani?
Je hakuna msanii mwenye hadhi ya kuwa mgeni rasmi? Je wasanii au watu maarufu wanajua thamani yao? Je wanajua kujiweka sawasawa mbele ya jamii?
Nimeona nianzie hap oleo na nitaendelea kuzungumza mambo muhimu ya kuzingatia kwa mtumishi wa MUNGU anapokuwa maarufu au star kwa lugha ya leo!!

HATUA ZA MSINGI
Kipaji mtu hupewa na Bwana lakini maboresho ya kipaji huletwa na juhudi ya mwenye kipaji, yaani namaanisha huwezi kung’aa katika kipaji chako kama hujaweka juhudi za kutosha katika kipaji hicho, hivyo zifuatazo ni hatua za msingi kwa mtu yeyote;

a.     KUJITAMBUA

Kila mtu anapaswa kujitambua vema, yeye ni nani? Anataka nini katika maisha na anatamani kufika wapi? Zaidi nini makusudi ya Mungu kumleta hapa duniani!!(HILO SI SOMO PANA SANA LAKINI HAPO MBELENI TUTAKUJA KUCHAMBUA KWA KINA SANA)






b.     KUJIVUMBUA
Mtu akishajitambua sasa anakuwa na heshima ya kuwa mtu na sasa kuna uwezo ambao Mungu ameuweka ndani ya kila mtu kipekee na uwezo huo ndio unaotoa mwelekeo hata wa kusudi la maisha yako hapa duniani. Sasa unapaswa kupitia hatua hii ya kujivumbua, hapa mtu anajua kwa hakika yeye ana kipaji Fulani na hicho amepewa awe makini kwa manufaa yake na jamii nzima(PIA HAPA TUTAKUJA KUCHAMBUA KWA KINA SANA HAPO MBELENI)

c.      KUJIFUNDISHA

Neno kujifundisha limesimama kwa niaba ya maneno MAFUNZO, yaani ukishajivumbua sasa unajitaji elimu,utaalamu na ujuzi bora uliopangiliwa vema sana juu ya hicho kipaji chako, watu wengi sana wakishajivumbua kuwa wao ni wazuri katika jambo Fulani basi hawafanyi jambo lolote zaidi kuvimba kichwa na kuanza kuishi maisha ya maigizo na unakuta hata hawavumi kivile kwasababu hawajawekeza kwenye kujifunza(HAPO MBELENI TUTACHIMBA NDANI KABISA NA KTOA MIFANO HAI)

d.     KUJIJARIBU
Hii ni hatua ambayo mtu anaanza kujihudhurisha mbele ya kadamnasi na kujaribu kuonyesha kile anaweza kufanya na hapa ni kama elimu wa vitendo, kwa maana hapa mtu anakuwa bado havijui vingi lakini anafanya vile ajuavyo na kufungua masikio kwa ajili ya maoni na mafunzo zaidi, hapa wengi huruka na kudhani wameshakuwa watu maarufu na ndio maana unaweza kuona mtu anakuja kwa kasi sana kasha akapotelea matopeni!!!
N.B; HATUA HII HUENDA IKIBOREKA NA KUBOREKA KADRI  MTU ANAVYOJITAHIDI KUONGEZA JUHUDI KATIKA KUJARIBU NA KUJARIBU TENA(WAZUNGU WANASEMA…PRACTISE MAKES PERFECT)

e. KUJIHUDHURISHA RASMI SASA

Baada ya muda wa kutosha sasa unafika wakati wa kuwekwa wakfu na kuanza kufanya na kuishi kipaji chako, hapo unakuwa bidhaa na unakuwa mshauri na mwalimu wa wengine wanakuja katika njia moja au katika tasnia uliyoipitia, na wakati huu na wewe pia huendelea kukua na kama ukizingatia misingi ya kwanza basi wewe kwenye sanaa uko salama….







HUU ULUKUWA NI MSINGI TU WA UTANGULIZI NA….
TUTAENDELEA KUCHAMBUA KIDOGO KIDOGO, MPAKA HAPO NITAKAPOMALIZA KIINI CHA UJUMBE HUU!!

KARIBU SANA!!!
King Chavala
+255 713 883 797

.........TUTAENDELEA!!!

Sunday, November 4, 2012

 A DEEP SUMMARY(ADS) ON.... PRAISE AND WORSHIP....(5)


Praise JESUS!
I am so grateful to God as we are able to have this wonderful opportunity to learn on our next subtopic that is THE POWER OF PRAISE!
I am exited already to know what really happens when we praise.
The bible says in Psalm 22:3  But You are holy, O You Who dwell in [the holy place where] the praises of Israel [are offered]. AMP
God dwells in praises! You can imagine how much power is in there where God Himself is present....!


THE POWER OF PRAISE!!
Concerning the power of praise, I want us to look at these two areas

  1. Praise is like a weapon in warfare.
  2. In praise there is power of transformation
1. Praise as a weapon
As Christians, we are like in a battle field here on earth. The bible says in Ephesians  6:12 For our struggle is not against flesh and blood, but against the rulers, against the authorities, against the powers of this dark world and against the spiritual forces of evil in the heavenly realms.NIV

We do not do the physical fight but we can fight in the spirit and one the greatest weapon is PRAISE!
We do not praise God in our circumstances so that He helps us out, but we praise Him because He is worthy of the praises and our problems can not hinder us from praising Him as He has promise us that in all things, He works for the good of those who loves Him. (Romans 8:28)

Let us take the example of Apostle Paul and Silas when they were in jail, we find this story from the book of Acts chapter 16. When they praised God, His presence covers us and fills the place. We all know that Paul is a man of God and the presence of God was with Him I can say God's presence was ALWAYS with him and still he was jailed. But in the act of praising God, all the chains that were holding him could no longer stand that awesome manifestation of the presence of God!

The other example I want us to look at is from 2 Chronicles chapter 20. We find that when the Moabites and Ammonites with some of the Meunites came to make war on Jehoshaphat, Jehoshaphat inquired from the LORD. The LORD said in 2 Chronicles 20:15......'Do not be afraid or discouraged because of this vast army. For the battle is not yours, but God's. NIV When it reaches a point you come to know the battle you have is not yours, you will PRAISE God and that is what Jehoshaphat did if you continue reading the story and God took care of His battle! HALLELUJAH!

2. In praise there is power of transformation
There is no one who praises God and remains the same! You might not sense the transformation at the very particular moment but you are being transformed. We are being taken from glory to glory. I want us to consider a number of things that happens when we praise!



  • When we praise, we focus not on our problems but on God's greatness! we magnify God!
  • When we magnify God, we humble ourselves before Him!
  • Praise reveals our devotion to God
  • Increases our joy like the apostle Paul, He could confidently tell the Philippians  in Philippians 4:4 'Rejoice in the Lord always. I will say it again: Rejoice!' NIV because he a man of praise!
  • Elevates our emotions. Instead of worrying, fearing or having doubts, when you praise, all that wont have room in you!

I pray that this lesson blesses and encourages you to live a life of PRAISE!!! AMEN......!!!


                                          TO BE CONTINUED.........

Tuesday, October 30, 2012

A DEEP SUMMARY(ADS) ON..... PRAISE AND WORSHIP.....(4)

HOW SHOULD WE PRAISE?
We have seen a number of issues on praise, we know the meaning, the importance and even who to praise. Now the question comes, 'How do we do it?' It is important to know this.

There are numerous ways of giving praise to God. What is important is to let the Spirit of God flow in you as you praise since praise is supposed to be from the inside out. I thank God for the bible because we can get several ways through which we can praise God. But remember, the key point is that, praise should flow from inside out. It is very important to live in an attitude of praise toward God.

We can praise God through

  1. Singing (Psalms 63:4-7). There are so many songs that can be song to give praise to God. Regardless of the tempo of the song.
  2. Shouting (Psalms 35:27). We can praise God through shouting for joy and gladness.
  3. Dancing (Psalms 150:4; 149:3). A dance that is inspired by the Holy Spirit can help in giving praise to God.
  4. Laughter (Job 8:21)
  5. Thanksgiving (Psalms 69:30). Giving thanks to God, appreciating what He has done in our lives is one way of Praising God.
  6.  Standing up (1 Chronicles 23:30). We can give praise to God simply by standing up.
  7. Lifting up hands (Psalms 134:2)
  8. Playing musical instruments. Psalms 150 speaks of praising God using different musical instruments. We can Praise God through making music to Him.
The bible says that "Let everything that has breath praise the Lord, Praise the Lord" Psalms 150:6.


                        TO BE CONTINUED........

Friday, October 26, 2012

STAY TUNED.........COMING SOOOOOON!!!!

THIS IS VERY IMPORTANT CONFERENCE FOR ALL, BUT HIGHLY DEDICATED TO MEN!!!
STAY TUNED AND STAY PREPARED!!!!

Thursday, October 25, 2012

VCCT TO HOST...."CAMPUS LIFE SEMINAR" IN THE TENT OF VCCT 28th NOVEMBER 2012!!!!

.......ATTENTION ALL STUDENTS!!!!
 THIS IS VERY IMPORTANT SEMINAR FOR ALL UNIVERSITY AND COLLEGE STUDENTS!!!
I ARGUE YOU ALL TO ATTEND THIS SEMINAR FOR IT IS FREE BUT NOT CHEEP AS SOMEONE MIGHT THINK!!!
PLEASE CONSIDER TO SPEND YOUR TIME WITH YOUR FELLOW AT VCCT!!!