EV. RICHARD CHIDUNDO NA MASHAIRI KWA MPENZI WAKE!!!!
kanibembelezaaaaaaaa
weeeeeeeeee!!!! me nimekubali bana....sasa angalau na mimi naweza
tangazia uma kwamba I am in an OPEN and Clear, Unbrekable, unstopable
RElationship.....asanteni kwa maombi yenu watumishi...nitakuwa
nikiwajuza hatua kwa hatua juu ya yale ynayoendelea...sasa mtaniheshimu
tu...na kama we ni singo aisee unakosa mambo...Jifunzeni kwa walio na
watu wanaowapenda kwa Dhati....huyu wa sasa najutaa nimechelewa
kumfahamu mapema...hivi mpenzi ungeniambiaga tangia mwanzo mbona
ingekukubalia tu jamani!!! halafu na mimi nilikuwaga naogopa kukwambia
kama Nakupenda...nilihisi ungenidharau sana Mpenzi..maana nilihisi
unaviwango fulani unataka..lakini kumbe hata mie niliyejiona
chini..khaaa umenikubali..ama kweli hapana chezea mapenzi..kumbe bora tu
ningekwambia kipindi kile aisee...sasa ona watu wamenicheeeeeka, oooh
mara richie ana roho ya kukataliwa, mara mizimu ya mababu, maagano ya
kutopata kibali kwa wapenzi...mbona wewe sijakufuata umekuja mwenyewe..tena ukajieleza navyonipenda...ningejua nisingemwambia mtu eti nampenda...maana nimedharaulika ujue mpenzi...
sasa we umejileta Mwenyewe, halafu bonge la shopping umenifanyia, piga
pamba moja hatari yaani...afu sio mlimani city maana haipatikani..cheki
penzi lako umeliweka moyoni mwangu, saizi me naropoka bwana...Nakukubali
mno...saizi jipangeni tu kupiga makofi na vigelegele...hapo wenye wivu
wote waanze kuabudu...maana hana mpango wa kuniacha...sitaki mwingine
saizi..ohoooo..maana hamchelewagi..nshapendwa ...na ndoa sitangazii hapa
bongo maana hawachelewi kutoa sijui kikwazo ndoa isifungike....sema
mtakuwa mnajisumbua maana mwenyewe ni bonge la mbabe, hela anayo, nguvu
anazo akili ndo usiseme...hamtuwezi...sihitaji
Gobole wala Binduki, hata Mzinga.....wa nini ulinzi wa nini..KAJA
mwenyewe.. yuko fiti aisee usithubutu chezeya...usiku na lala tuli
mchana namsifu..MPENZI UMEWAPITA WOTE>>>kwani ulikuwaga wapi?
nimechelewa kukufahamu...
mapenzi matamu niwapo nawe Mpenzi.....wengine wote piga chini...achana nao..
ntawajuza kama nilivyosema hatua baada ya hatua lakini sasa niropoke tu
I LUV YOU MY DARLING, YOU ARE SO SWEEEEEEEEEEEEEEET, thanks for luving
me honey..i receive your Love JESUS!!!!!! MMWAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
No comments:
Post a Comment